Highlights | Dodoma Jiji 3-0 Ihefu - VPL 28/11/2020 |
|
Magoli mawili ya Seif Karihe na moja la Augustino Samson yameipa Dodoma Jiji FC ushindi wa mabao 3-0 dhid ya Ihefu, mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Dimba la Jamhuri, Dodoma. Haya hapa magoli yote.
Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz |